Leviticus 5:1

Sadaka Zingine Za Kuondoa Dhambi

1 a“ ‘Ikiwa mtu atakuwa ametenda dhambi kwa sababu hakusema alipotakiwa kutoa ushahidi hadharani kuhusu jambo aliloona au kujua habari zake, yeye anastahili adhabu.

Copyright information for SwhNEN